Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

PATA MCHANGANUO KAMILI WA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2012 WILAYANI HAI



Na Mwandshi Wetu Hai Via Boma Blog

Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imefanya vibaya katika mtihani wa kidato cha pili wa mwaka jana baada ya kupata wastani wa ufaulu wa asilimia 35 huku kiasi cha wanafunzi 940 watalazimika kubakia katika kidato cha pili

Jumla ya wanafunzi 2,959 walifanya mtihani huo ambapo kati ya hao waliofanikiwa kupata daraja la kwanza kwa maana alama A ni kumi na mmoja tu.

Shule za binafsi ndizo zinaonekana kufanya vizuri zaidi ya shule za serikali ambapo shule ya sekondari ya Narumu ilizoa alama za A zipatazo sita ikifuatiwa na ST.Dorcas iliyopata tatu na Shule ya sekondari Masama iliyopata Moja.

Shule pekee ya serikali iliyofanikiwa kuwafuta machozi katika kundi hilo ni Hai Day ambayo ilipaya alama A moja.

Shule iliyoongoza kwa kupata alama ya mwisho ya F ni Shule ya sekondari iliyopaya alama hizo 117 lakini pia ikiwa na idadi kubwa ya wanafunzi kuliko shule zote kwa kuwa na wanafunzi 181

Ufuatao ni mchanganuo wa matoke hayo:
1.0  .USAJILI WA WATAHINIWA
JINSIA
WALIOSAJILIWA
WALIOFANYA
WASIOFANYA
WANAWAKE
1807
1675
132
WANAUME
1402
1284
118
JUMLA
3209
2959
250
2.0  .UFAULU KATIKA MADARAJA
A
B
C
D
F
JUMLA
WATORO
A-D%
F%
WANAWAKE
8
157
410
550
550
1675
132
67.16
32.84
WANAUME
3
99
402
390
390
1284
118
69.63
3037
JUMLA
11
256
812
940
940
2959
250
68.23
31.77
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE ZA SEKONDARI ZA HAI MWAKA 2012
3.0  .SHULE ZA SERIKALI
JINA LA SHULE
A
B
C
D
F
ABS
JUMLA
BOMA SEC
0
3
16
39
98
11
167
HAI DAY SEC
1
9
45
51
100
14
220
HARAMBEE SEC
0
2
10
29
64
11
116
KIA SEC
0
0
13
26
27
29
95
KIKAFU SEC
0
3
11
13
13
1
41
KISELU SEC
0
0
15
29
106
5
155
KYUU
0
2
10
23
29
-
66
LEMIRA SEC
0
1
19
34
41
6
101
LONGOI SEC
0
1
14
37
117
12
181
LUKANI
0
0
4
22
33
4
63
LYASIKIKA SEC
0
1
16
35
44
3
99
MAILISITA SEC
0
3
16
37
105
12
173
MARIRE SEC
0
1
9
29
105
4
148
MUKWASA SEC
0
0
6
14
50
-
87
NEEMA SEC
0
1
5
24
38
9
77
NG’UNI SEC
0
1
20
31
63
2
117
NKOKASHU SEC
0
0
9
26
98
13
146
NKUU SEC
0
0
26
24
20
3
73
NKWAMWASI SEC
0
1
14
24
37
-
76
ROO SEC
0
0
15
38
56
11
120
RUNDUGAI SEC
0
0
14
34
87
9
144
SAWE SEC
0
0
4
23
33
2
62
TUMO SEC
0
0
5
24
84
5
118
TUMONA SEC
0
0
3
20
52
10
85
UDORU SEC
0
0
6
31
57
5
99
UDURU SEC
0
0
14
24
30
-
71
LERAI SEC[BOMA B]
0
0
7
9
20
3
39
4.0  .SHULE ZA SEKONDARI ZA BINAFSI
JINA LA SHULE
A
B
C
D
F
ABS
JUMLA
BOLOTI
0
10
64
29
-
-
103
EDEN GARDEN
0
6
24
2
-
-
33
KIBOHEHE
0
4
23
18
3
10
58
KIRUMBIU
0
2
34
18
19
7
80
MASAMA
1
50
37
1
-
-
89
MSUFINI
0
5
22
27
5
5
64
MUDIO ISLAMIC
0
28
118
23
1
8
117
NARUMU
6
68
12
-
-
4
90
NRONGA
0
1
26
21
3
1
52
SHILELA
0
5
7
2
-
-
15
ST. DORCAS
3
43
48
-
-
1
95
UROKI
0
9
52
36
5
2
104
WARI
0
0
1
8
5
5
19
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top