Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Liberata Mulamula akizungumza na Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini
Mhe. Thamsanga Dennis Mseleku katika mazungumzo yaliyolenga kuboresha
mahusiano mema na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Balozi Thamsanga Dennis Mseleku, akisisitiza jambo kwa Katibu Mkuu Balozi Mulamula.
Mazungumzo yakiendelea huku Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (kushoto), Bw. Merdard Ngaiza, Afisa Mambo ya Nje (katikati) pamoja na Afisa Habari wa Mambo ya Nje, Bw. Ally Kondo wakifuatilia mazungumzo hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi
Liberata Mulamula akiagana na Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini
Mhe. Thamsanga Dennis Mseleku, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Wizarani tarehe 01/12/2015.
=========================
Picha na Reuben Mchome.
Post a Comment