UGANDA KUMEKUCHA UCHAGUZI MKUU.
Magari Maalum ya Jeshi la Polisi la Uganda yakiwa yamewasili Bandari
ya Mombasa Nchini Kenya, tayari kwa safari ya kuelekea Kampala.
Jeshi la Polisi la Uganda limejiimarisha zaidi kipindi hiki cha kampeni na hasa siku ya Uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni.
Post a Comment