Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JENGO LA PPF TOWER JIJINI DAR LASHIKA MOTO

Just in:jengo la PPF tower inawaka moto kwa zaidi ya saa moja (1) sasa na moto unaendelea kuwaka Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa wa Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea ingawa imekuwa vigumu sana kufanikiwa kutokana na urefu wa jengo ni vitendea kazi wanashindwa kupanda kutokana na uduni wa vitendea kazi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top