Lionel Messi akipanda ndege Jijini Barcelona kuelekea Madrid ambapo mida ya usiku leo kwa saa za hapa nyumbani kutakuwepo na mpambano wa kukata na shoka watakapo pepetana na Real Madrid katika mechi ya pili wa Super Cup ikumbukwe katika mpambano wa kwanza Barcelona walishinda kwa mabao 3 kwa 2 ya Real Madrid hivyo mechi hiyo inatazamiwa kuwa na Ushindani mkubwa na wa aina yake.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Wednesday, August 29, 2012
Post a Comment