Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NA NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZITTO KABWE AUNGURUMA UJIJI,BITALE,MAHEMBE, MWANDIGA NA KASULU KIGOMA MAELFU WAJITOKEZAPicha Juu ni Sehemu ya Umati Mkubwa wa Wana Kasulu Wakimsikiliza kwa Makini Mbunge wa Kigoma kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe akihutubiaa Maelfu ya Wanachama wa Chadema
Sehemu ya umati wa wananchi Kasulu Jana kwenye mkutano wetu wa hadhara baada ya kikao Cha Kamati ya mashauriano mkoa
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu Chadema Zitto Kabwe Akiunguruma Mbele ya Maelfu ya Wanachama wa Chadema Kasulu.Picha Zote na Kabwe Zitto(MB)
---
Nimehitimisha ziara yangu mkoani Kigoma kwa kufanya kikao cha Kamati ya Mashauriano ya Mkoa wa Kigoma cha CHADEMA na baadaye mkutano wa hadhara Kasulu mjini.Tumekubaliana na wananchi umuhimu wa kuendelea kuifanya Kigoma ngome ya siasa za mageuzi nchini kupitia CHADEMA. 

Nimewakumbusha wana Kigoma kwamba wao ndio mkoa wa Kwanza kukubali mageuzi nchini tangu vyama vingi.


Zitto Kabwe(MB)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top