Kikosi cha Simba kimehamia mji wa Unguja ambako mchezowa nusu fainali
kombe la mapinduzi dhidi ya AzamFC utapigwa. Simba imepeleka wachezaji
wake wote muhimu
kuelekea mchezo wake na Azam utakaopigwa
hapo kesho saa 2:15 usiku kwenye dimba la Amaan. Hizi ni baadhi ya picha
za wachezaji wakiendelea na mazoezi makali kuelekea mchezo huo.
Post a Comment