Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" aliye
wahi kuishi Maryland, DC na Virginia (DMV) amekuwa akivunja rekodi
kwenye historia za mbio za ubunge jimbo la Mbarali kwa kukusanya vijana
na watu wa rika mbalimbali wengi kuliko ilivyo wahi tokea jimboni
Mbarali.
Juu na chini: Libe katika ubora wake
Juu na chini: George Tito aka Mbu Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Mbeya akimnadi Mh. Mwang'ombe
Mh. Mwang'ombe akikabidhi kadi ya CHADEMA barabarani
Shabiki akifuta kiatu cha Mh. Mwang'ombe
Wana wa Mbarali wanata Libe. Wana taka picha na Libe
Wangipi watampa kura Mwang'ombe
Libe
anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa
kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria
Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na:
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia 240 593 5973
Jabil 240 604 0574
Post a Comment