Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. |
Muimbaji
wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya
nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto
ni Suzy pamoja na Kasongo Junior (kulia).
Sony
Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa
burudani akisindikizwa na waimbaji wenzake katika kiota cha Escape One
Mikocheni.
Waimbaji wa Bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ya nguvu kwenye kiota cha Escape One.
Sam
Mapenzi ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akitoa burudani ya
ngoma za Kinaija huku mashabiki wa bendi hiyo wakiendelea kuzirudi
Rapa
mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba sambamba na
mashabiki wao nyimbo zinazobamba Afrika ya Mashariki katika hatua yake
ya kukusanya mashabiki ili tu waende sawa aisee huyu jamaa ni hatari
jumapili hii atakuwepo pale Escape One Mikocheni bila kukosa sogea
taratibu uje ushuhudie vitu kutoka Skylight Band.
Kasongo
Junior wa Skylight band akiimba na mmoja wa shabiki mkubwa wa bendi ya
Skylight jumapili iliyopita katika kiota cha Escape One Mikocheni
Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiwafundisha Style mpya ya kucheza wanapokuwa wanacheza nyimbo za bendi hiyo.
Mashabiki wakicheza kwa kuzungusha duala hapa ni kukata mauno mpaka kieleweke.
Binti Royalty_inty_Cakes akikata keki ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa uku akiimbiwa nyimbo na Bandi ya Skylight
Hakika Skylight band ni mwisho wa matatizo unaweza kusherekea sikukuu yako kwa kuimbiwa nyimbo na Bendi hiyo
Msanii
Em Njenje kutoka bandi ya Wana Njenje naye hakuwa nyuma kuja kuwapa
burudani mashabiki wa bamdi ya Skylight ndani ya Kiota cha Escape One
Mikocheni.
Waimbaji wa Bandi ya Skylight wakicheza na mashabiki wao katika kiota cha Escape One Mikocheni.
Sam Mapenzi wa Skylight akitoa burudani mbele ya mashabiki wa bendi hiyo katika kiota cha Escape One Mikocheni
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba akiimba uku akisindikizwa na wasanii wenzake.
Hakika
kwenye shoo ya Skylight ya kila Jumapili sio ya kukosa njoo ujionee
mambo mazuri kutoka katika bendi ya Skylight.....Just Follow the Light.
Post a Comment