Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CHOKI :EXTRA BONGO ILINIPA HASARA TU

Mkongwe wa muziki wa band Tanzania Ali Choki amefunguka sababu zilizomfanya arejee katika bandi yake ya awali African Stars Twanga Pepeta baada ya kuikimbia bendi hiyo hapo awali na kuanzisha bendi yake binafsi iliyoitwa Extra Bongo.


Akizungumza na eNewz Choki alifunguka kwamba Band hiyo ya awali ya Extra Bongo haikuwahi kumlipa zaidi ya kumuingizia hasara kubwa na ndipo akaamua kuisambaratisha na kurudi Twanga alipotokea katika bendi inayomilikiwa na mwanamama Asha Baraka.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top