Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HEKAHEKA ZA MAFURIKO MWANAKEREKWE ZANZIBAR

Mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi na Jumaili iliyopita  lilisababisha mafuriko Mwanakwereke ambapo mtu mmoja alikufa na wengine 500 kukosa makazi. Kuhama au kupita eneo hilo  ilikuwa lazima elfu moja shilingi ikutoke.

 ilikuwa kaazi kwelikweli


hizi ni mvua za Jumamosi na jumapili tu yaani Aprili 16 na 17 tu

naam hali ilivyokuwa

Sio manjonjo ila kazi tu. unatak kwenda ng'ambo ile buku
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top