Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA ANNE KILANGO

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela kuanzia leo.

 Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anne Kilango kwa kutoa taarifa za uongo kuwa mkoa huo hauna watumishi hewa.


Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana kilango Malecela kutungaza kwenye vyombo vya habari kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa jambo ambalo lilisababisha Ikulu kufanya uchunguzi wake na kubaini kuwepo kwa wafanyakazi hewa 45 katika awamu ya kwanza na awamu ya pili ya uchunguzi bado inaendelea.
 
Akiongea Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akipokea hundi ya shilingi bilioni sita zilizotolewa na Ofisi ya Bunge baada ya kubana matumizi kwa ajili ya kununulia madawati Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa na hali hiyo na kuagiza Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala wa Mkoa kuondolewa ofisini mara moja.
 

 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top