Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HUKUMU KESI YA UBUNGE IGUNGA LEO

Mbunge wa Sasa wa Jimbo la Igunga, Dk. Dalally Peter 
Kafumu akifurahi baada ya kushinda katika uchaguzi 
 mdogo uliofanyika Septemba mwaka jana katika jimbo 
hilo, kufuatia kiti kubaki wazi baada ya aliyekuwa mbunge
 wake, Rostam Aziz kujiuzulu kutokana na kashfa za ufisadi.Dk.Kafumu alishinda kwa kura 26434
  Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa mgombea wa 
Chadema Joseph Kashindye,toka CHADEMA
 akipata kura 23260 chama ambacho ndicho 
kilienda mahakamani kupinga matokeo.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top