Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JIPATIE KITABU SASA NAMNA BORA YA KUANZISHA NA KUENDESHA NGOs


Jipatie Kitabu mahsusi kwa ajili ya wanaotaka kuanzisha na kuendesha Asasi zisizo za kiserikali (NGOs). Kitabu hiki ni bure kabisa, kinapatikana kwa anuani hiyo hapo chini. Mtu anaweza kudownload akajisomea kwa muda wake, au akasoma tuu online. Kitabu kinaelezea mambo ya msingi ya kufanya NGO iendeshwe kitalaamu mfano namna bora za kuitangaza NGO, jinsi ya kuingiza mapato, jinsi ya kusimamia miradi, jinsi ya kuandaa katiba, jinsi ya kusimamia maswala ya fedha ya NGO, n.k. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU.http://www.slideshare.net/Johnieblog/starting-and-managing-ngo-ebook.

Pia unaweza kusoma machapisho mbalimbali katika Blogu yetu ya JohnJohnie na Unowbizauthor

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top