Rejeeni mikutano ya
hadhara na vikao mbalimbali ndani ya jimbo letu la Ubungo katika kata
mbalimbali ambapo nilihamasisha elimu juu ya haja na hoja za mabadiliko ya
katiba.
Sasa zamu ya jimbo
letu imefika kutoa maoni.
Toa sasa na himiza
wananchi wenzako wengine nao washiriki kutoa maoni.
Endapo utakosa
fursa ya kutoa maoni yako katika mikutano na Tume ya Katiba. Hakikisha unatoa
bado maoni yako kwa njia hizi: Facebook hapa: http://www.facebook.com/pages/Tume-ya-Mabadiliko-ya-Katiba-Tanzania/323414977745643?fref=ts
au Ingia hapa ujaze maoni yako: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi
au baruapepe: katiba@katiba.go.tz
Pia kwa watanzania
wenzetu waliopo nje ya nchi, huu pia ni wakati wenu wa kutoa maoni kwa kupitia:
Facebook hapa: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-nje-ya-nchi
au Ingia hapa ujaze maoni yako: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi
au baruapepe: katiba@katiba.go.tz
RATIBA
YA MIKUTANO YA MAONI YA KATIBA JIMBO LA UBUNGO.
NA.
|
KATA
|
TAREHE
|
MAHALI
|
MUDA WA MKUTANO
|
|
KUANZA
|
KUMALIZA
|
||||
1
|
KIMARA
|
27/11/2012
|
BAHAMA TRA
|
3:00 ASB
|
6:00 MCH
|
UBUNGO
|
S/MSINGI MSEWE
|
8:00 MCH
|
11: JIONI
|
||
2
|
KIBAMBA
|
28/11/2012
|
S/MSINGI KILUVYA
|
3:00 ASB
|
6:00 MCH
|
MBEZI
|
S/MSINGI MBEZI
|
8:00 MCH
|
11:00 JIONI
|
||
3
|
GOBA
|
02/12/2012
|
ZAHANATI YA GOBA
|
3:00 ASB
|
6:00 JIONI
|
4
|
KWEMBE
|
03/12/2012
|
KIBAMBA HOSPITAL
|
3:00 ASB
|
6:00 MCH
|
SINZA
|
UWANJA WA TP
|
8:00 MCH
|
11: JIONI
|
||
5
|
SARANGA
|
04/12/2012
|
STENDI YA BONYOKWA
|
8:00 MCH
|
11: JIONI
|
6
|
MSIGANI
|
05/12/2012
|
UWANJA WA TANESCO
|
3:00 ASB
|
6:00 JIONI
|
7
|
MANZESE
|
07/12/2012
|
UWANJA WA BAKHRESA
|
8:00 MCH
|
11: JIONI
|
8
|
MABIBO
|
10/12/2012
|
S/MSINGI MPAKANI
|
3:00 ASB
|
6:00 JIONI
|
9
|
MBURAHATI
|
11/12/2012
|
S/MSINGI MBURAHATI U/KIFA
|
3:00 ASB
|
6:00 JIONI
|
10
|
MAKUBURI
|
13/12/2012
|
U/NJIA PANDA MABIBO HOSTEL
|
3:00 ASB
|
6:00 MCH
|
MAKURUMLA
|
GOMBERO
|
8:00 MCH
|
11: JIONI
|
MUHIMU: naomba
wananchi wakati mkituma/toa maoni yenu, mnitumie pia nakala kwa simu: 0715-37
95 42 au baruapepe: mbungeubungo@yahoo.com
kwa kuratibu na kurahisisha shughuli za ufatiliaji kwani kwa mujibu wa sharia ya
mabadiliko ya katiba ilivyo sasa wabunge ni wajumbe wa Bunge la Katiba hivyo
napaswa kupata nakala ya maoni ya wananchi pia juu ya katiba mpya niweze
kuwakilisha kwa hatua hiyo ikifika.
Pia, napaswa kupata
maoni yao kuhusu mchakato wa kupata katiba mpya ili niyazingatie wakati
natekeleza wajibu wa kuwakilisha wananchi, kutunga sheria na kusimamia tume na
serikali kwa ujumla wake ili nchi ipate katiba mpya na bora kwa maendeleo ya
wananchi.
Maslahi ya Umma
Kwanza!
John
Mnyika
Mbunge
Jimbo la Ubungo
Post a Comment