Wakaziwa
mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha Poeples Power, wakati
wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, ukiwa ni muendelezo wa operation Sangara.
(Picha na Joseph Senga)
Post a Comment