Operation
Sangara pamoja na vuguvugu la mabadiliko leo imeingia Ulanga Mashariki
ikitokea Kilombero. Mikutano imefanyika kwenye Kata 8 na Vijiji zaidi ya
24. Kesho itakuwa ni Kata 8 za Ulanga Magharibi na keshokutwa itakuwa
ni Kata 4 za Mashariki na 4 za Magharibi.
Ikikumbukwe
Operation ni kwa ajili ya kujenga mtandao wa CHADEMA vijijini na kwenye
vitongoji. Hivyo pamoja na Mikutano pia kumekuwa kukifanyika uchaguzi
wa Chama kuanzia Vitongoji hadi ngazi ya Kata. Mh. Mponda amelazimika
kurudi Jimboni ghafla baada ya kuwasahau Wananchi wake kwa muda mrefu.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment