Wakiwa na mizigo yao kichwani kuelekea sokoni kama walivyokutwa na mpiga picha kina Mama hao mkoani Arusha hivi karibuni.Ni katika kujitafutia kipato ili waweze kumudu kulisha familia zao hivyo hawana budi kujitwika mizigo hiyo na kuelekea Sokoni.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment