Licha ya Tanzania kugundua kiwango kikubwa cha gesi haitaweza kufikia uchumi unaotegemea gesi bila ya kuwa na mikakati ya kuongeza wahandisi wazawa katika tasnia ya gesi watakaosaidia kupunguza utegemezi wa wataalamu kutoka nje ambao wataligharimu taifa fedha nyingi zaidi.
Loading...
Post a Comment