Kuna maandamano maeneo ya posta yakiwa kwenye
makundi makundi inasadikiwa waandamanaji wanapinga kitendo cha jeshi la polisi kuwashikilia wenzao kwa kosa la kukataa kuhesabiwa/Kushiriki zoezi la SENSA kuachiwa mara moja.

Maandamano hayo yanaelekea Makao Makuu ya Polisi
Kiongozi wa Maandamano hayo alikuwa Sheikh Ponda.

Post a Comment