Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MKUU WA WILAYA YA HAI -KILIMANJARO AANZA KUONYESHA MAKUCHA YAKE AWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI KIJIJI CHA KWA SADALA

Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro bwana Novatus Makunga amewasimamisha kazi viongozi wa kijiji cha kwa Sadala wilayani Hai akiwemo mwenyekiti wa kijiji bw Ernest Munis ,mtendaji wa kijiji bi Trea Ramadhani na afisa mtendaji wa kata ya masama kusini Hasani Mwambashi kwa tuhuma mbali mbali zikiwemo za kuuza ardhi ya kijiji ,kuiba pembejeo za ruzuku na kunyanyasa wananchi bila sababu za msingi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top