Watoto Mapacha wanne wanaofanana kiasi cha mzazi wao kuwachanganya akaona isiwe taabu huyoo kwa kinyozi weka staili ya namba kichwani chezea Mama wewe.Hiyo ni baada ya kufikisha miaka 6 hivyo wanatakiwa kwenda Shule nao wamefanana mno.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
1 comments:
DUUU HII NIMEIPENDAAA
ReplyPost a Comment