Baada ya mwereka huo vibarua wakihamisha mzigo uliokuwa umebebwa ili kurahisisha shughuli ya kuweza kuliweka sawa lori hilo.
Fundi akijaribu kufunga mikanda ili waweze kulivuta lori hilo lililopiga mwereka leo mchana maeneo ya matumbi barabara ya Mandela katika kisa ambacho hakikuweza kujulikana na maro moja.Lori hilo aina ya Fuso lenye namba za usajili T612 BHY lilipiga mwereka huo bila ya kumjeruhi yeyote kama mashuhuda wa mkasa huo walivyotabanaisha.
(Picha hisani ya Michuzi Blog)
Post a Comment