Askari
wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kikiwa tayari kukabiliana na lolote
linaloweza kutokea katika viunga vya Mahakama ya Mkoa wa Iringa.
Mbunge
wa Iringa mjini-Chadema mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), akishuka katika gari
la Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Mkoa leo akikabiliwa
na tuhuma za uchochezi.
Post a Comment