#UCHAGUZI2015:
Jimbo la Babati mjini Pauline Gekuli wa Chadema ameshinda kwa kura
21,970, na kumshinda Werema Chambiri wa CCM aliyepata kura 16,434 Jimbo
la Moshi mjini Jaffari Michael wa Chadema ameshinda kwa kupata kura
51,646 akifuatiwa na Davis Mosha wa CCM kwa kura 26,920 ambapo kati ya
kata 21, Chadema wamechukua kata 16 na 2 CCM.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment