Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

PARTY YA WEMA SEPETU NI KUFURU


Mkurugenzi  wa Endless Fame, Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha   siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall, uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower.

Meneja wa Wema (kushoto), Martin Kadinda, akimsaidia kukata moja ya  keki zilizokuwa zimeandaliwa muda mfupi kabla ya kuanza kuwalisha ndungu jamaa na marafiki zake.
Nelly Kamwelu (kulia), kipiga picha ya pamoja na Wema.
Wema akimlisha keki mpenzi wake Luis Manana.
Wema akikisiana na mpenzi wake huyo baada ya kulishana keki.
Weama akiwa amekumbatiana na mpenzi wake.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top