Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WEMA SEPETU NA VIMBWANGA VYAKE:AIBUKA NA BAJAJI

STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.

Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine na maisha yote anastahili kuishi.

“Jamani sijui mijitu mingine ikoje? Bajaj ni usafiri kama usafiri mwingine, sasa cha ajabu nini mimi kuutumia? Mniache na maisha yangu,” alisema Wema.

Chanzo:GPL

WEMA SEPETU’S ROYAL BIRTHDAY PARTY

wema sepetu royal birthday
wema sepetu royal birthday 1
wema sepetu royal birthday 2
wema sepetu royal birthday 5
wema sepetu royal birthday
wema sepetu royal birthday 2
wema sepetu royal birthday 3
wema sepetu royal birthday-23
November 1st ilikuwa ni “Royal Birthday Party” ya Tanzania’s sweetheart Wema Abrahim Sepetu..watu walialikwa for dinner and drinks at LAPF Building Millenium towers. People that were invited walivaa white which was the dress code ya hiyo royal birthday..na ilikuwa royal kweli.
wema sepetu royal birthday 5
wema sepetu royal birthday 8
wema sepetu royal birthday 9
Champagne time..
wema sepetu royal birthday 6
wema sepetu royal birthday 11
wema sepetu royal birthday 12
wema sepetu royal birthday 13
wema sepetu royal birthday 7
CHEERS..
wema sepetu royal birthday 8
wema sepetu royal birthday 14
wema sepetu royal birthday 15


wema sepetu royal birthday 20

wema sepetu royal birthday 7
wema sepetu royal birthday 19
wema sepetu royal birthday cake
wema sepetu royal birthday 3
wema sepetu royal birthday 16
wema sepetu royal birthday 17
wema sepetu royal birthday 18
CAKE

wema and luis

wema sepetu royal birthday 4
Birthday girl alipendaza sana and her dress was designed by kaka manager Martin Kadinda.
Time for presents..

wema sepetu endless lipstick
Her very own lipstick brand inaitwa “Kiss” signature lipstick..pamoja na lipgloss yake pia

HAPPY BIRTHDAY! HAPPY BIRTHDAY! HAPPY BIRTHDAY!

PARTY YA WEMA SEPETU NI KUFURU


Mkurugenzi  wa Endless Fame, Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha   siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia ndani ya Ukumbi wa Wema Sepetu Hall, uliyopo ndani ya jengo jipya la Millenium Tower.

Meneja wa Wema (kushoto), Martin Kadinda, akimsaidia kukata moja ya  keki zilizokuwa zimeandaliwa muda mfupi kabla ya kuanza kuwalisha ndungu jamaa na marafiki zake.
Nelly Kamwelu (kulia), kipiga picha ya pamoja na Wema.
Wema akimlisha keki mpenzi wake Luis Manana.
Wema akikisiana na mpenzi wake huyo baada ya kulishana keki.
Weama akiwa amekumbatiana na mpenzi wake.

WEMA SEPETU NA ZAWADI YAKE YA RANGE ROVER KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top