#UPDATES:Haya
ndio makontena tisa yalio kamatwa na Jeshi la Polisi kwa ushirikiano
mzuri na mamlaka ya mapato nchini TRA katika eneo la Mbezi tank bovu
lilopo manispaa ya kinondoni,Bado haijafahamika ndani yake yamebebwa
nini yatakapo funguliwa tutawajuza.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment