Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JESHI LA POLISI UGANDA LAJIZATITI KULINDA AMANI SIKU YA UCHAGUZI.


UGANDA KUMEKUCHA UCHAGUZI MKUU.

Magari Maalum ya Jeshi la Polisi la Uganda yakiwa yamewasili Bandari ya Mombasa Nchini Kenya, tayari kwa safari ya kuelekea Kampala.

Jeshi la Polisi la Uganda limejiimarisha zaidi kipindi hiki cha kampeni na hasa siku ya Uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top