Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (katikati) akifuatilia mkutano huo uliowakutanisha
Madaktari waliohitimu mafunzo kwa vitendo 2014/2015 (waliokaa upande wa
kushoto). Wengine waliokaa upande wa kulia ni viongozi watendaji wa
ngazi za juu wa Wizara hiyo wakifuatilia mkutano huo. Madaktari hao
walifanya mkutano huo kwa lengo la kutaka kufahamu masuala mbalimbali
ikiwemo suala la ajira.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa
wanafunzi hao juu ya mipango ya Wizara hiyo na namna ilivyojipanga
ikiwemo kushughulikia suala lao hilo ambalo ni la kiutawala zaidi.
Viongozi wa Wizara ya Afya wakiwemo Makatibu wakuu na wakuu wa vitengo wakifuatilia mkutano huo kwa makini
Baadhi
ya Madaktari waliohitimu mafunzo kwa vitendo wa mwaka wa 2014/2015
wakitoa maoni yao pamoja na mambo mbalimbali waliyoyawakilisha kwa Naibu
Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla pamoja na viongozi wa kutoka Wizara hiyo
(Hawapo pichani).
Baadhi ya Madaktari hao waliohitimu mafunzo kwa vitendo mwaka 2014/15
Mkutano huo ukiendelea..
Naibu
Waziri Afya, Dk. kigwangalla akipeana mkono na baadhi ya viongozi wa
Madaktari hao waliohitimu mafunzo kwa vitendo 2014/15, mara baada ya
mkutano wao huo.
Hapa
Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla aliombwa kupata picha ya ‘selfie’
ya ukumbusho na Madaktari hao waliohitimu mafunzo kwa vitendo 2014/15
“Selfie
na Naibu Waziri”: Baadhi ya Madaktari waliohitimu mafunzo kwa vitendo
2014/15 walipata wasaha wa kupiga picha ya kumbukumbu na Naibu Waziri.
Naibu Waziri ambaye naye ni Daktari, Madakatri hao walifurahia nafasia
hiyo kwani ni kumbukumbu muhimu sana kwao kama walivyodai wakati wa
picha hiyo.
Baadhi
ya viongozi wa Madaktari waliohitimu mafunzo kwa vitendo mwaka 2014/15
wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Afya Dk. Kkigwangalla.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Wizara
hiyo pamoja na uongozi wa Baadhi ya Madaktari waliohitimu Mafunzo kwa
vitendo wa mwaka 2014/15 pamoja wahitimu hao katika picha ya pamoja nje
ya Wizara hiyo.
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog).
Post a Comment