Rais
wa Vietinam, Trung Tan Sang akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kabla ya kuanza kwa mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania
na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere
jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na
Vietinam uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius
Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri
Mkuu)
Rais
wa Vietinam, Trung Tan Sang akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
katika mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam
kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es
salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa
Vietinam, Trung Tan Sang kuhutubia mkutano wa biashara na uwekezaji
kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)
Rais
wa Vietinam, Trung Tan Sang akimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
ambaye alizungumza na kumkaribisha Rais huyo kuhutubia mkutano wa
biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9,
2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais
wa Vietinam, Trung Tan Sang akihutubia mkutano wa biashara na uwekezaji
kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi
ya Waziri Mkuu)
Rais
wa VietinamTrung Tan Sang (kuliakwa Waziri Mkuu) na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja badhi ya viongozi na
wafanyabiashara wa Tanzania na Vietinam baada ya mkutano wa biashara na
uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha
na ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais
wa Vietinam, Trung Tan Sang akiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa kutoka katika mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya
Tanzania na Vietinam uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016.
(Picha na ofisi
ya Waziri Mkuu)
Post a Comment