Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama
ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya
kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi
Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyopo
Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji kazi
unaofanywa Hospitalini hapo.
Naibu
Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefaanya ziara ya kikazi kujionea
shughuli zinazofanywa katika sekta ya Afya na wadau mbalimbali ikiwemo
Hospitali hiyo ya Kilutheri ambayo inahudumia eneo kubwa la Ukanda huo
ikiwemo Mikoa ya Singida, Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya
karibu.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama
ya Wilaya ya Mbulu wakati alipowasili Wilani humo kwa ajili ya
kutembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom. Kulia kwake ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbulu, Dk. Michael Kadeghe
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akisalimiana na baadhi ya Madaktari wakati
alipowasili Wilani humo kwa ajili ya kutembelea Hospitali ya Kilutheri
ya Hydom.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni katika Hospitali
hiyo ya Hydom
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake katika
hospitali hiyo
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa kitengo
cha Machi katika Hospitali hiyo ya Hydom.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akipata maelezo juu ya kitemgo maalum cha
ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam katika Hospitali hiyo ya Hydm.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala
ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam ambaye anatoa mafunzo kwa wataalam
wa ufundi wa vifaa hivyo mpango ambao unaendelea katika katika
Hospitali hiyo ya Hydom.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akiangalia chumba cha CT-SCAN katika
Hospitali hiyo ya Hydom.
Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akitembezwa katika moja ya wodi za Hospitaali
hiyo ya Hydom.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom
kinachomilikiwa na Hospiatli hiyo ya ya Hydom.

Khamisi Andrea Kigwangalla akisikiliza kwa makini risala fupi kutoka kwa
msimamizi wa Chuo hicho cha Uuguzi cha Hydom.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akitoa maelezo kadhaa kwa uongozi wa
Hospitaali hiyo ya Hydom muda mfupi baada ya kumaliza kwa kuitembelea.
Wanafunzi wa chuo cha Uuguzi wakifuatilia mkutano huo..
Mmoja wa wafanyakazi wa Hospitali ya Hydom akipata kuuliza swali katika mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akijibu baadhi ya maswali wakati wa mkutano
huo ambapo aliomba mfanyakazi yeyote kuulizwa swali.
Moja ya muonekano wa jengo la Hospitali hiyo la Hydom
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt.
Khamisi Andrea Kigwangalla akiondoka eneo la tukio baada ya kumaliza
ukaguzi huo..
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjibl)
Post a Comment