Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent
Mashinji jana ameripoti rasmi kwenye ofisi yake mpya jijini Dar es
Salaam na kupokelewa na viongozi mbalimbali waandamizi wa chama hicho
akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
CHADEMA
on Wednesday, April 13, 2016
Post a Comment