Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania H.E John Magufuli Akitoa Hotuba yake
Raisi wa Rwanda, H.E Paul Kagame Akitoa Hotuba yake, amemshukuru Raisi wa Tanzania kwa kumwalika katika Uzinduzi huu
Balozi wa Japan nchini Tanzania akiwasilisha Hotuba yake kwa Kiswahili
CEO wa Tanroads Akitoa ripoti ya kitaalam kuhusu Daraja la Rusumo
Utamaduni wetu ukiwakilishwa vema kwenye uzinduzi wa Daraja la Rusumo
Post a Comment