Mjasilimali wa Jamii ya Kimasai, Juliana Samsoni , akiwaonesha vibuyu vya kuhifadhi maziwa ama maji kwa ajili ya matumizi ya kunywa ,juzi ( Aprili 20) ,Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kifaifa 2016 wakati wa mbio zake katika Kijiji cha Melela Mlandizi, wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro.
( Picha na John Nditi).
Post a Comment