ESTONIA: Timu ya Atletico Madrid imetwaa ubingwa wa 'UEFA Super Cup' baada ya kuifunga Real Madrid goli 4-2 ndani ya dakika 120
Magoli ya Atletico yamefungwa na D. Costa(1' na 79'), Niguez(99') na Koke(104'), huku ya Madrid yakifungwa na K. Benzema(27') na S. Ramos(63')
Post a Comment