Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HATIMAYE ALI KIBA AMUOZESHA DADA YAKE

Picha hisani ya ShaffihDauda.
Msanii wa muziki Alikiba amefanikisha jambo la kumkabidhi mdogo wake wa kike zabibu kiba kwa mume wake abdi banda katika msikitiki wa  sanene tabata jijini Dar Es Salaam.
Wiki hii yote iliyopita kulikuwa na shamra shamra nyingi sana upande wa familia ya zabibu kwa ajili ya kujiandaa na ndoa hiyo na hatimaye sasa imekamilika.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top