Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MeTL Group Shines at this year’s PMAYA taking home 3 Awards

 CjxmgHAUYAI_CwK
President’s Manufacturer of the Year (PMAYA) Awards took place earlier yesterday, on May 31, 2016 at the Serena Hotel Dar es Salaam which was graced by H.E. John Pombe Magufuli, President of the United Republic of Tanzania as the chief guest. PMAYA is an annual event that is organised by the Confederation of Tanzania Industries (CTI) to award the outstanding manufacturers of the preceding year.

The Awards are given to companies in small, medium and large manufacturer categories that exhibit a high degree of economic impact. This year’s event gathered Tanzania’s most prominent business leaders, corporate executives, industrialists and professionals, about 300 guests from the private sector and government institutions will attend.

MeTL Group of companies emerged as one of the clear winners at yesterday’s event taking home three awards in total in sectors such as energy, textiles and food processing. The first award was given to the MeTL subsidiary, Star Oils (T) Ltd, in the category of Energy, Electrical & Electronics – Large Industries.  Star Oils began as a wholesale of petroleum products in December 2010, with the capacity to store 38 million litres of petroleum products. The subsidiary plans to increase its storage capacity to 60,000 tons within the next two years. Furthermore it plans on extending storage to create a nationwide distribution of petroleum products.

The second award for the group, went to East Coast Oils and Fats in the category of Food Processing – Large Industries. East Coast is a state-of-the-art facility for the manufacturing of edible oils, fats and soaps. It is the largest plant of its kind located at one site for the entire African continent. The subsidiary has been in production since October 2006, and boasts 60% of the Tanzanian market. East Coast Oils and Fats Ltd is set to double its production capacity to 1,200,000 metric tons per annum. The plant will also introduce new product lines including palm oil, sunflower oil, soya oil, margarine and soap.

Lastly, the third and final award was given to 21st Century Textile, in the category of Textile & Apparel – Large Industries. 21st Century is the largest employer in Tanzania’s textile sector. Acquired by MeTL Group in 1998, from the then Morogoro Polyester Textiles Ltd, the plant has undergone intensive modernization and expansion. 21st Century Textiles has an installed capacity to produce 720 tons of 100% cotton yarn monthly (8,640 tons per annum) and 150 tons of 100% polyester or blended yarn monthly (1,800 tons per annum). The plant has a production capacity of 60 million meters of high quality African wear per annum. Spinning – the plant has an installed capacity of 75,000 spindles with a total spinning capacity of 25 meters of open-end yarn per day (7,500 meters per annum).

History of MeTL Group
MeTL Group is Tanzania’s largest home-grown conglomerate, worth more than $1 billion with a presence in 11 countries employing over 28,000 people across the Tanzania alone. It began in the early 1970s as a small trading business with a big vision. Currently, MeTL Group’s operations contribute 3.5% of the GDP of Tanzania. The Group plays a vital role in strengthening Tanzania’s opportunities for growth and development in private industry-ensuring the country can reap the benefits of globalization.

The Group began as a family business started by Gulamabbas Dewji, a small trading company which was then turned into one of the largest industrial conglomerates in East Africa, with interests ranging trading, agriculture, manufacturing, energy & petroleum, financial services, mobile telephonyinfrastructure and real estate, transport, logistics & distribution. The current CEO, Mohammed Dewji joined his father’s business in 1999, since then MeTL Group has grown significantly, diversifying to sectors never before thought possible.

Congratulations to MeTL for taking how three very distinct awards, sitting at the forefront of manufacturing both in Tanzania and Africa. Through their core businesses, MeTL has demonstrated their commitment to improving the livelihoods of Tanzanians and expanding the industrial capacity within the country.

Shindano lenye fursa ya kukuza mitaji kwa vijana la “Mo Mjasiriamali” lazinduliwa

DSC07284-2
Na Modewjiblog team
Mwenyekiti wa Taasisi wa MO Dewji, Mohammed Dewji kwa kushirikiana na kampuni ya Darecha Limited leo (jumatatu) wamezindua shindano la Mo Mjasiriamali lenye lengo la kusaidia kukuza ujasiriamali miongoni mwa vijana.


Shindano ya Mo Mjasiriamali litatoa fursa ya ukuzaji wa mitaji, ulezi wa wajasiriamali na mitandao ya biashara kuongeza mwanga, ujasiri na kuzalisha wajasiriamali Tanzania.


“Mimi kama Mjasiriamali kijana na mzaliwa wa Singida vijijini, sikufikiria hata mara moja kama leo ningekuwa Mkurugenzi Mtendaji  wa moja ya makampuni yaliyofanikiwa sana katika nchi yetu na hata barani Afrika.” Inasema taarifa Mkurugenzi Mtendaji huyo wa MeTL kwa vyombo vya habari mwishoni mwa wiki.


Aidha alisema Afrika ni moja ya bara linalokua kwa haraka na lenye ukuaji imara wa uchumi na amini vijana wa Tanzania wana nafasi kubwa  ya kutumia fursa hizo ili kujiletea uchumi endelevu.


Lakini pamoja na ukweli huo changamoto kama za ukosefu wa mitaji, ukuzaji ujasiriamali na mitandao ya biashara zimekatisha tamaa vijana wengi kukuza kwa mafanikio makampuni yao hapa Tanzania na hivyo  kupunguza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa watu wa kipato cha kati.


Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Benki ya maendeleo ya Afrika (ADB), watu wenye kipato cha kati katika bara la Afrika wataongezeka na kufikia watu bilioni 1.1 ifikapo mwaka 2060.


Watu wa kipato cha kati ndio wanaochagiza ukuaji wa uchumi kutokana na mahitaji yao na pia ari ya ujasirimali.


Pamoja na ukweli huo kunachangamoto nyingi zinawakabili watu hao wa kipato cha kati. Mathalani nchini Tanzania changamoto kubwa kwa vijana wajasirimali  ni gharama za kutafuta mtaji kwa kazi hizo.


“Kuna haja kubwa ya  kuhakikisha kwamba vijana hawa wanaondolewa tatizo la ujasirimali ili waweze kusukuma mbele uchumi wa Tanzania.” inafafanua taarifa hiyo.


Aidha kwa kuwa Tanzania inaelezwa kuwa ni nchi ya 19 katika bara la Afrika kuhusiana na fursa na ujasirimali ipo haja ya kusaidia ili kuiondoa katika nafasi hiyo. Taarifa ya nafasi ya Tanzania imo katika ripoti yake ya mwaka 2014 ya Africa Prosperity Report.


Taarifa ilifafanua zaidi kwamba kutokana na haja hiyo  Taasisi ya Mo Dewji na Darecha Limited wameungana pamoja na kuanzisha  shindano la Mo Entrepreneurs ili kutambua na kuuenzi mchango wa wajasirimali chipukizi na kufanikisha ndoto zao.


Ili kufanikisha nia ya kuwa na wajasiriamali wengi, shindano hilo linatarajiwa kuwa daraja kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Mohammed Dewji (MeTL Group na Mwenyekiti wa Mo Dewji Foundation) ambapo vijana ambao wanaonekana wana kitu cha kufanya, lakini hawana msaada watashiriki kwa lengo la kupata msaada katika mfumo wa mtaji, mtandao na usimamizi wa ukuaji wa shughuli wanayofanya au kutaka kuifanya  ili kuianzisha na kuikuza.


Mambo hayo yatatekelezwa katika mfumo wa shindano litakalogusa wajasiriamali ambao  wana ari na nia ya dhati ya kuendeleza shughuli walizofikiria na kuzianzisha kwa lengo la kuinua uchumi wao binafsi na wa taifa.


Washindi watatu watakaotangazwa Aprili mwaka huu watapatiwa mtaji wa kuanzia au kuendeleza, pia watapatiwa maarifa ya kuendeleza shughuli zao na kuanzishwa mtandao wa kibiashara na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa MeTL Group  na mwenyekiti wa Mo Dewji Foundation, Mohammed Dewji.


Wakati akipewa tuzo ya Forbes ya mwaka 2015, Mohammed Dewji aliitoa  kwa heshima ya vijana akiwatakia kila la heri waking’aa, kuvunja nira ya woga, kukabili changamoto na kuendelea katika ujasiriamali kwa lengo la kufanya dunia yetu mahali bora pa kuishi.


Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top