Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia
Ackson amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali
jana jioni.
Taarifa za awali zimeeleza kuwa Dk. Tulia alipata ajali hiyo baada ya gari dogo kugonga gari alilokuwa akisafiria katika eneo la Kiwira jijini Mbeya.