Just in:jengo la PPF tower inawaka moto kwa zaidi ya saa moja (1) sasa na moto unaendelea kuwaka Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa
wa Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika
na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea ingawa imekuwa vigumu sana
kufanikiwa kutokana na urefu wa jengo ni vitendea kazi wanashindwa
kupanda kutokana na uduni wa vitendea kazi.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment