Moshi ukionekana juu ya jengo la PPF Tower asbuhi ya leo
Picha ikionyesha moshi unaotoka juu ya jengo la PPF tower linaloonekana kwa mbali katika kile kinachosadikika ni moto.[SOMA:Jengo la PPF Tower Lashika moto].Shuhuda aliyekuwa akihojiwa na Redio Upendo 107.70 Fm asubuhi alisema moto huo uligundulikana walinzi waliokuwa wanabadilishana lindo ndipo walipoona moshi juu kabisa ya Jengo
(Picha na Herieth)
Moto unaendelea vyumba vya juu ndio vinawaka police wamefika na zima moto wapo wamefanikiwa kupanda juu
Moto unaendelea vyumba vya juu ndio vinawaka police wamefika na zima moto wapo wamefanikiwa kupanda juu
Post a Comment