Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JE UNAZIFAHAMAU SABABU KUU ZA KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME, MARADHI YA MOYO NA KUPOOZA


Daktari anayeshughulika na utoaji wa tiba asilia magonjwa mbalimbali sugu ya binadamu, ushauri na matibabu ya dawa asili Top Manyota (kulia) akiwa na mmoja kati ya wasaidizi wake kwenye maonesho ya biashara ya Chemba ya Biashara TCCIA yaliyofanyika na kumalizika hivi karibuni katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.

 HABARI NA G SENGO.

Mfumo mbovu wa mpangilio wa ulaji chakula, unywaji wa vileo vikali pamoja na kutofanya mazoezi imeelezwa kwamba ni moja kati ya sababu kuu ya watu wengi kukumbwa na maradhi ya kupoteza nguvu za kiume, hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake, maradhi ya moyo na kupooza.
Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa anayeshughulika na utoaji wa tiba asili kwa magonjwa mbalimbali sugu ya binadamu, ushauri na matibabu ya dawa asili Dkt. Top Manyota pindi alipokuwa akizungumza na mwanahabari Albert G. Sengo. Humo ndani pia pata suluhisho kwa maradhi hayo kupitia dawa alizonazo. 

Maradhi mengine anayotibu ni pamoja na:-
1. Maleria sugu, Taifodi
2. Miguu kuwaka moto
3. Kisukari, Asasi (Ulcers)
4. Mgongo, mifupa,kiuno kuuma
5. Kifua, vidonda vya tumbo (Ulcers)
6. Upele, magonjwa ya ngozi
7. Kaswende, kisonono
8. Uzazi kwa akina mama
9. Minyoo ya tumbo
10.Fangazi, Pumu, Moyo
11.Presha, Vichomi
Na mengineyo
 MSIKILIZE MWENYEWE KWA KUBOFYA PLAY.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

1 comments:

nitapataje namba ya sm ya huyu anayetoa dawa hizi na sisi tuliye huku nje ya nchi?

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top