
Dereva Makini akiwa kaushika vizuri inavyotakiwa Usukani hana masihara na mahiri kabisa awapo barabarani.

Daladala Time tuko na dereva huyu aendeshae Gari ipigayo ruti za Buguruni -Msasani akiwa amepozi huku akiangalia kupitia kioo cha pembeni kama kuna gari linakuja ili nae aweze ingia barabarani baada ya kushusha abiria wake.Kama kawaida mavazi ni shati juu ya shati huku akiwa amepigia Kofia Maridadi kichwani Makini kabisa na kazi yake.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Thursday, June 21, 2012
Post a Comment