
Mpambano wa Leo usiku kati yaUingereza na Italia unatazamiwa kuwa wa ushindani Mkubwa ambapo tayari inakisiwa mashabiko wa Uingereza wapatio 10,000 tayari wameshaingia JIji la Kiev utakaokuwa mwenyeji wa mpambano huo leo.
Nani atakuwa mbabe ni sual la kusubiria dakika 90 au 120 au muda ule wa matuta kama mcheoz huo utaingia huko,
Tayari vita imeaanza kwa vyombo vya habari vya Uingereza kama kawaida yao wakiwalinganisha wake wa wachezaji wa uingereza na Wale wa Italia kuwa nani anajua kuvaa zaidi . Tusubiri mida iyo ya usiku nani atanuna nani atalia
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Sunday, June 24, 2012
Post a Comment