

Cesc Fabregas ametupia sifa mchezaji wa Italia Mario Baloteli kuwa ni mchezaji mzuri sana akiongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho wakati wahispania hao watakapo umana na Italia amewatahadharisha wachezaji wenzake kuwa Mario ni mtu wa kuangalia sana hapo kesho.
Hiyo yote ni kutokana na Mario Baloteli kuifungia Italia Magoli mawili yote yakiwa ni magoli mazuri dhidi ya Wajerumani.
Macho na Masikio ni hiyo kesho miamba hiyo itakapokutana katika Fainali ya kusisimua .
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Saturday, June 30, 2012
Post a Comment