Ukizingatia kuna hali ya baridi Jijini Dar es Salaam Rafiki kama alivyopenda nimuiite akiwa amepozi bila wasiwasi ndani ya daladala amejifunika lubega macho mbele huku Fimbo ikiwa pembeni anasema ni mila kwao kubeba fimbo suala la Sime sikuliongelea kwani sikujua alikoificha.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment