Loading...
Serikali kutoa kauli yake kesho Bungeni Kuhusiana na mgomo wa madaktari unaoendelea.
Serikali kutoa msimamo wake kuhusu mgomo wa madaktari baada ya MH.Zambi kuomba serikali itoe kauli yake kuhusiana na mgomo huo ulioanza toka Jumamosi na ambao kwa mujibu wa Mh.Zambi mgomo huo unaendelea huko Mbeya Hospitali ya Rufaa na Muhimbili ambapo anasema ameongea na madaktari waliomuhakikishia mgomo huo upo.
Ndipo aliposimama Waziri Mkuu na kusema serikali imefanya jitihada kubwa kuzuia mgomo huo na kushindikana hivyo kesho Bungeni atatoa msimamo wa serikali
Hiyo ni leo hii saa NNe :15 asbhi Bungeni
KIOJA:
Mbunge mmoja(ambae jina lake halikufahamika maramoja) aomba kulia bungeni kwa serikali kutotekeleza ahadi yake huko chunya.Naibu Spika akamuambia hakuna kanuni inamruhusu kufanya hivyo.
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment