Kupitia Twitter Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh.Bernard Membe(Mb) atoa wito kwa Watanzania kupitia Twitter asema....
Kamwe watanzania tusikubali kulishwa kasumba ya kuwa Upinzani wa kisiasa ni uadui. Tusigawanywe kwa itikadi wala dini
Mfuatilie Twitter ....
Bernard Membe
Post a Comment