Mbunge Kigamboni Faustine Ndungulile afukuzwa bungeni na kuzuiwa kuhudhuria vikao vitatu kwa kushindwa kuthibitisha rushwa wizara ya ardhi
Mbunge huyo wa kigamboni ametolewa nje na naibu spika Ndugai baada ya kukataa kufuta kauli yake aliyoambiwa aifute kauli yake kwamba waziri amewahonga madiwani na kuwaleta Bungeni.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment