Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MNYIKA NA SIASA YA TANZANAI NA MALENGO YAKE KAMA KIONGOZI BORA NA SI BO...

Katika viongozi vijana ninaowafuatilia kwa karibu basi mmoja ni mbunge wa ubungo. Kila atua anayopiga katika siasa kwangu ni kile kilicho bora katika safari yake ya siasa Sio kwa vile yupo chama fulani, ninachovutiwa ni mikakati na msimamo wa kuchambua masuala kwa mapana wigo na upeo. Mimi si mfuasi wa chama aliko bali ni mtu nayewafuata viongozi wenye msimamo na mikakati endelezi kama mmojawapo ni Mnyika. Nampongeza yeye na viongozi wenye mfano kama wake kwani ubora wa kiongozi ni kulijenga taifa na si kubomoa

Source:http://bongoline.com
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top